ujenzi wa bweni la waulana

Karibu Endarofta Secondary School

wanafunzi wa kiume wamepata bweni

sherehe

Karibu Endarofta Secondary School

kuwakaribisha form one

graduation

Karibu Endarofta Secondary School

graduation

Karibu Endarofta Secondary School

Nafasi za Masomo & Interview Vituo vya Fomu na Mitihani ya kujiunga
Matokeo ya Mitihani Angalia Matokeo
Ratiba ya Shule Kalenda ya Shule

Chagua Shule Yetu

Maktaba Bora

Shule ina maktaba bora yenye vitabu vya kutosha kwa kila somo. Pia maktaba yenye mazingira bora na tulivu kwa wanafunzi na walimu kujisomea wakati wowote.

Maabara Ya Kisasa

Shule ina maabara bora sana kwa masomo ya sayansi. Pia imejaa vifaa vya kutosha kwa masomo yote matatu ya sayansi: Physics, Biology na Chemistry.

Mazingira Tulivu

Shule inapatikana katika mazingira tulivu sana, yaliyo kimya na yanayofaa kwa watoto wa kike kujisomea.

Imani katika Bwana

Shule inawajenga watoto katika imani ya bwana bila kubagua imani ya mtu. Pia kumwabudu Mungu wakati wote.

Maabara Bora ya Kompyuta

Shule ina maabara bora kabisa ya kufundishia Kompyuta ili kuwafanya wanafunzi kuijua teknolojia ili kuendana na maisha ya kisasa.

Mitandao ya Kijamii

Shule inapatikana katika mitandao mbali mbali ya kijamii kama Facebook kupitia Endarofta Page

Tunafanya Vizuri zaidi kwenye mambo mengi kama

Waalimu Bora

Shule ina waalimu wakutosha, wenye uzoefu wa muda mrefu, pia wenye uwezo mkubwa wa kufaulisha wanafunzi kwa viwango vya juu kwenye mitihani yote.

Ufaulu Mzuri

Shule inafanya vizuri katika mitihani ya taifa kidato cha Pili na Cha nne kwa Miaka yote kwa kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza Div 1.

Nidhamu Bora

Wanafunzi wa Endarofta wananidhamu iliyo bora wakiwa nje na ndani ya shule, kwa kuheshimu watu wote bila kujali umri wao na vyeo.

Mazingira Bora

Shule inapatikana katika mazingira safi na bora yanayo ruhusu na kusaidia watoto wa kike kujisomea kwa utulivu na amani.

Je unataka kujiunga na shule yetu iliyo bora Tanzania?

Mawasiliano